Wednesday, August 22, 2012
ADRIANO ASAJILIWA FLAMENGO KLABU ALIYOANZIA SOKA LA KULIPWA
Posted on 5:00 AM by Unknown
Mchezaji wa zamani wa Brazil Adriano Ribeiro amesajiliwa na klabu aliyoanzia soka la kulipwa kwa uhamisho huru toka klabu ya Corinthias maarufu kama Wakorinto.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment