Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Friday, August 31, 2012

USAJIRI ULAYA KATIKA PICHA

Maicon signing


sinclair
Scot Sinclair akiwa na jezi ya Man City

USAJIRI KATIKA PICHA BARANI ULAYA

United front: Berbatov says he is excited about his future after joining Fulham
Dimitar Berbatov
Wakati dirisha la usajiri likifungwa jana,vilabu vingi viliendelea kukamilisha usajiri wa baadhi ya nyota toka vilabu vingine.Embu tuangalie baadhi ya usajiri uliofanywa na baadhi ya vilabu katika picha.
Manchester City sign Javi Garcia
Javi Garcia
Delight: Pablo Hernandez was desperate to join up with manager Michael Laudrup
All white on the night: New signing Clint Dempsey with Spurs shirt
Up for grabs: Chelsea's Michael Essien secured a late loan switch to Real Madrid
Essien atua Real Madrid kwa mkopo
Italian job: Nicklas Bendtner is set to leave Arsenal for Juventus
Bendtner akitoka katika vipimo tayari kujiunga Juventus
Checking in: Charlie Adam has left Liverpool to join Premier League rivals Stoke
 Winners And Losers

Thursday, August 30, 2012

JULIO CESAR NDANI YA QPR

Mark Hughes: It's best Barton moves on... but let's focus on our 10 new signings
Julio Cesar ndani ya QPR

QPR WAENDELEA KUJIIMARISHA


 From Madrid to QPR: Esteban Granero holds up his new shirt
 Klabu ya Queens Park Rangers(QPR) imezidi kujiimarisha kwa kuendelea kusajiri nyota baada ya kmsajiri kiungo wa klabu ya Real Madrid Estaban Granero.

USAJILI: CARROL ATUA WEST HAM


 Done deal: Andy Carroll has signed on loan for West Ham from Liverpool
Klabu ya Liverpool imekubaliana na klabu ya West Ham katika kumpeleka Andy Carrol kwa mkopo magharibi ya jiji la London kunako klabu ya West Ham.Wabeba nyundo hao wa London(the hammers) watakuwa na Andy Carrol katika msimu wote huu wa 2012/2013.

INIESTA MCHEZAJI BORA ULAYA


 AndrĂ©s Iniesta - Spain
 Mchezaji wa Barcelona Andres Iniesta amewazidi wachezaji bora wengine Lionel Messi na Cristiano Ronaldo katika tuzo za mchezaji bora wa Ulaya.Iniesta alipata kura 19 ikiwa ni tofauti ya kura mbili dhidi ya Messi na Ronaldo waliofungana kwa kupata kura 17 kwa kila moja.
Hongera Iniesta

CHELSEA WAONGOZA KATIKA KUTUMIA FEDHA LIGI KUU UINGEREZA


 
 Kwa mijibu wa mtandao wa Deloitte,klabu ya Chelsea inaongoza kwa kutumia fedha nyingi katika usajiri wa wachezaji tangu timu hiyo ichukuliwe na bilionea Roman Abramovich mwaka 2003.Katika orodha hiyo inayoshirikisha timu 20 za Ligi Kuu  ya Uingereza,Chelsea imezipiku timu kama Manchester United,Manchester City,Liverpool na Arsenal.


1. Chelsea 673m    
2. Man City 572m
3. Liverpool 414m
4. Man United 352m
5. Tottenham 350m
6. Arsenal 214m
7. Aston Villa 20m
8. Sunderland 187m
9. Newcastle 174m
10. Everton 129m
11. West Ham 123m
12. Wigan 110m
13. Fulham 107m
14. Portsmouth 100m
15. Birmingham 92 m
16. Blackburn 87m
17. Stoke 84m
18. Bolton 76m
19. Middlesbrough 71m
20. West Brom 64m


MAKUNDI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Back To The Drawing Board
Ligi ya Mabingwa UlayaGroup A: Porto, Dynamo Kiev, Paris St Germain, Dinamo Zagreb. Group B: ARSENAL, Schalke, Olympiakos, Montpellier.
Group C: AC Milan, Zenit St Petersburg, Anderlecht, Malaga.
Group D: Real Madrid, MANCHESTER CITY, Ajax, Borussia Dortmund.
Group E: CHELSEA, Shakhtar Donetsk, Juventus, FC Nordsjaelland.
Group F: Bayern Munich, Valencia, Lille, BATE Borisov.
Group G: Barcelona, Benfica, Spartak Moscow, CELTIC.
Group H: MANCHESTER UNITED, Braga, Galatasaray, CFR Cluj.

Wednesday, August 29, 2012

SUPERCUP PREVIEW:CHELSEA VS ATLETICO MADRID



 

 Ni UEFA SUPER CUP tena tarehe 31/8/2012 majira ya saa 3:30 za huku kwetu Afrika mashariki linafanyika katika jiji la Monaco nchini Ufaransa katika Uwanja wa Stade de Lois 11 na ni Ijumaa baada ya swala kabla ya sabato hatari kweli kweli.Pambano linalowakutanisha mabingwa wa UEFA champions League na mabingwa wa UEFA Europa league Chelsea na Atletico Madrid kwa pamoja.Hakika ni pambano ambalo tumia mizani yeyote unayohisi itafaa kupima umuhimu na uzito wa pambano lenyewe bado jibu litabaki moja tu la kuwaahidi mashabiki kote duniani pambano kali na kuvutia kweli kweli.Chelsea wakiwa wapya kabisa na wanaovutia kutazama kwa sasa nina uhakika mpaka ikifika katikati ya msimu huu  Roman Abramovich anaweza kumualika kipenzi ama watoto mjini wanasema kali yake  Dasha Alexandrovna Zhukova kuja kuangalia maajabu ya Eden.

 Ni pambano kati ya The Blues vs Los Rojiblancos au Red and Whites,Spain vs England, Torres vs Falcao,Cech vs Courtois na Mwisho kabisa ni pambano kati ya vijana makocha Diego Simeone na Robert Dimateo ambao wote wamechezea vilabu hivi kwa mafanikio makubwa kwelikweli.Pambano hili linamrudisha Dimateo tena Monaco katika fainali ya Supercup wakati ule 1998 Chelsea wakiifunga Real Madrid 1-0 kwa goli la Gustavo Poyet lakini leo akirudi tena kama kocha.Diego Simeone naye baadae 1999 akishinda Supercup na S.S Lazio kwa hiyo wote kila mmoja anatamani kuandika historia nyingine.


Chelsea wakiongoza msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza kwa sasa kocha wao Robert Dimateo anasema “ Ni vizuri kushinda kombe lingine la kimataifa kwaajili ya timu hii na tunafurahi tunaeleka kwenye mchezo huu tukiwa tumeshinda michezo mitatu ya ligi na kila mtu anaonekana yuko fiti” anaendelea anasema mechi hii sio ya kirafiki kuna kombe uwanjani na tunataka kushinda  kwa hiyo tunaichukulia kwa uzito mkubwa sana  na hatutopumzisha mchezaji hata mmoja”.Atletico Madrid au Los Rojiblancos wenyewe kwa sasa wanakamata nafasi ya nne  na pointi zao 4 kocha wao Diego Simeone nao wanaonekana wako tayari.


Kazi kubwa ya Peter Cech na ukuta mzima wa Chelsea kama wanataka kweli kulipeleka kombe hili pale kaskazini mwa London lazima wahakikishe Ledamel Falcao Garcia anakuwa na usiku  mbaya.Huyu jamaa ni zaidi ya hatari ni moja kati ya washambuliaji bora wa kati kwa sasa diniani kama sio Christiano Ronaldo au Lionel Messi hakika kile kiatu cha mfungaji bora wa La Liga  ni cha kwake na hata namuona na nadiriki kusema ni mkubwa sana kuliko Atletico Madrid.  Msimu uliopita wa La Liga alifunga magoli 24 anahitaji kuondoka kwenda kwenye timu kubwa zadi ni mfungaji bora wa UEFA Europa ligi mara mbili  mfululizo akifanya hivyo akiipa FC Porto kombe msimu wa 2011 na 2012 akifanya tena vitu vya hatari na kuwapa Atletico Madrid kombe.


Kwa upande wa Atletico Madrid ukuta wao ukiongozwa na Diego  Godin, Miranda na Mario Suarez  utakuwa na kibarua kikubwa kuhakikisha £82 zilizowaleta Fernando torres na Eden Hazard Stanford bridge zinabaki kuwa makaratasi tu. Hawa jamaa kwa sasa ndo habari ya mjini ndio wameiweka Chelsea juu ya msimamo wa ligi kuu ya premier pale Uingerza. Fernando Torres amefunga mabao 2 amenza kurudia makali yake na ametengeneza uelewano mzuri na Hazard.Hazard mpaka sasa ameshahusika katika magoli nane Chelsea waliyofunga na anaonyesha kweli thamani ya £32m zilizomtoka Roman Abromovic.