
Magoli ya Jack Wilshere na Lukas Podolski yalitosha kuipa klabu ya Arsenal ushindi mzuri katika Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya klabu ya Montpellier na hivyo kufuzu kwa raundi ya 16 bora ukiwa umesalia mchezo mmoja.Katika mechi hiyo mshambuliaji Olivier Giroud alitoa pasi za magoli yote mawili .
Katika kundi hilo klabu ya Schalke iliifunga timu ta Olympiacos 1-0.
Anderletch 1-AC Milan 3.
Magoli: S.El Shaaawy 47
P.Mexes 71
Pato 91 T.De Suter 78
Ajax 1- Dortmund 4
Magoli: M.Reus 8
M.Goetze 36
Lewandowsk 41,67 D.Housen 86
Man City 1- 1 Real Madrid
Magoli: Benzema 9,Aguero 72