![]() |
Kocha wa Lazio Petkovic Akiapa kabla ya mechi dhdi ya timu ya AC Milan kuwa lazima Lazio wataifunga Milan,kocha Vladmil Petkovic alikuwa mtu mwenye furaha mara baada ya kuitimiza ahadi yake hiyo kwa kuifunga Milan magoli 3-2.Magoli ya Lazio yalifungwa na maestro wa Lazio Hernanes katika dakika ya 28 kabla ya Antonio Candreva na Miloslav Klose kuongeza magoli katika dakika za 41 na 49. Magoli kwa upande wa AC Milan yalifungwa na Nigel De Jong kunako dakika ya 61 na Stephen El Shawaary kaika dakika ya 71. |
Sunday, October 21, 2012
LAZIO YAIFUNGA AC MILAN
Posted on 12:07 AM by Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment