Klabu ya Stoke City imethibitisha kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Man United Michael Owen.Michael Owen ambaye pia anatajwa kuwa ni mmoja kati ya washambuliaji bora duniani atajiunga na klabu hiyo yenye maskani yake katika uwanja wa Brittania kwa mkataba wa mwaka mmoja.
0 comments:
Post a Comment