
Klabu ya Manchester United imeifunga timu iliyopanda daraja ya Southampton maarufu kama 'The Saints' katika mfululizo wa Ligi Kuu ya soka nchini Uingereza.
Magoli Man Utd yalifungwa na Robin .V.Persie (3) 23,87,90 huku magoli ya Southampton yakifungwa na Paul Lambert 16 na Schneiderlin 55.
![]() |
![]() |
Southampton: K Davis, Clyne, Fonte, Hooiveld, Fox, Puncheon (Mayuka 74), S Davis, Schneiderlin, Ward-Prowse, Lallana (Rodriguez 78), Lambert (Do Prado 75).
Subs not used: Gazzaniga, Lee, Richardson, Seaborne.
Goals: Lambert 16, Schneiderlin 55.
Booked: Hooiveld.
Man Utd: Lindegaard, Da Silva, Ferdinand, Vidic, Evra, Valencia, Cleverley (Scholes 61), Carrick, Welbeck (Hernandez 71), Van Persie, Kagawa (Nani 61).
Subs not used: De Gea, Evans, Giggs, Powell.
Goal: Van Persie 23, 87, 90.
Referee: Mike Dean (Wirral)
Attendance: 31,609
0 comments:
Post a Comment