Alikuwa ni Jakob Blaszczykowski'au anajulikana pia kwa jina la KUBA ambaye aliwaokoa Borrusia Dortmund katika mwendelezo wa Bundesliga.Katika mechi hiyo Dortmund walilazimishwa sare ya goli 1-1 na klabu ya Nurnberg.Goli la Nurnberg lilifungwa na Tomas Pekhart. Matokeo mengine ni kama yafuatavyo:
0 comments:
Post a Comment