Klabu ya Arsenal imeshikwa shati na klabu ya Stoke City katika mfululizo wa Ligi Kuu ya soka nchini Uingereza.Arsenal ililazimishwa sare tasa(bila kufungana) katika uwanja wa Brittania unaomilikiwa na klabu na Stoke City.

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com
0 comments:
Post a Comment