Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuumaliza salama mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013.Mengi yamejiri katika mwaka huu tunaoumaliza leo katika medani zote za kijamii,kiuchumi na pia medani yetu ya kimichezo.Tushirikiane katika kuendeleza michezo nchini na kuufanya mwaka 2013 kuwa mwaka wa kukumbukwa kimichezo nchini mwetu.
KWA KHERI MWAKA 2012 NA KARIBU MWAKA 2013.